Mtu wangu ushawahi kujiuliza ni aina gani ya maisha staa wako filamu, soka, muziki n.k anaishi mfano David Beckam, Dr. Dre na kanye West? Nyumba anayoishi, magari anayotembelea, wapi huenda kujirusha n.k.
Sasa leo nakuletea mijengo ya maana kutoka kwa maceleb wa nguvu, ambayo itakuamsha mtu wangu kuwaza makubwa ama kuwa mtu wa malengo.hakuna kisichowezekana duniani, ni nia, hatua na malengo.
|
Huu ni mjengo unaomilikiwa na David Bekham nyota wa zamani wa Man United, Real Madrid, na Timu ya Taifa ya England. |
|
Mjengo huu unamilikiwa na staa wa filamu, mziki wa hiphop au kufokafoka kama inavyojulikana na wengi bongo, na CEO wa lebo ya Aftermath Entertainment and Beats Electronics. Mwaka 2014 Dr. Dre alitajwa kama tajiri na mba mbili kwenye industry ya HipHop.
|
|
Jumba hili la kifahari ni mali ya aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Chelsea ya England na Timu ya Taifa ya Ivory Coast Didier Drogba |
|
Nyumba ya staa wa filamu Julia Roberts Malibu Beach |
|
Mjengo huu unamilikiwa na nyota wa mpira wa kikapu Lebron James Mansion anayekipiga Cleveland Cavaliers |
|
Hapa ndipo Kim and Kanye West wanapoishi - Hidden Hill Estate |
Comments
Post a Comment