Wanasoka wa kiafrika wanaocheza soka ya kulipwa kwenye ligi
za ulaya ni sehemu ya wanamichezo matajiri duniani, na wamekuwa wakifahamika
kwa matumizi makubwa ya pesa
kwa kununua
magari na majumba ya kifahari. Nakuletea orodha wanasoka wanaoongoza kwa
kutumia mikwanja yao kununua magari ya kifahari.
Sulley Muntari. Mchezaji huyu wa kimataifa wa Ghana anamiliki gari yenye
thamani ya paundi za uingereza 135,000 aina ya Lamborghini Gallardo
|
Sulley Muntari na Lamborghini Gallardo |
Mikel Obi Mnaijeria huyu anamiliki 2008 Bentley Continental GT yenye thamani
ya paundi za uingereza 135,000 na ni sehemu tu ya moja magari ya kifahari
aliyonayo.
|
Mikel Obi na Bentley Continental GT |
Adebayor anamiliki Aston Martin DBS V12 pamoja na magari mengine
ya kifahari ikiwamo Bentley, Porsche Carrera, Mercedes G Class.
|
Emmanuel Adebayor na Aston Martin DBS V12 |
Mchezaji huyu wa zamani wa Chelsea Football Club na timu ya
taifa ya Ivory Coast anamiliki Mercedes SL65 ikiwa ni sehemu ya tu
magari ya kifahari anayoyamiliki.
|
Mercedes SL65 ya Didier Drogba |
Obefemi Martins
Mchezaji
huyu wa kimataifa wa Nigeria anamiliki Lamborghini Gallardo and a Mercedes
McLaren
|
Obefemi Martins na Lamborghini Gallardo |
El Hadj Diouf Msenegal huyu anaendesha Mercedes McLaren SLR yenye thamani
ya £400,000.
|
Mercedes McLaren SLR ya El Hadj Diouf
|
Samuel Eto’o. Mshambuliaji huyu wa zamani wa Barcelona FC and
Chelsea FC haibishaniwi ni mmoja kati ya wachezi mahiri kuwahi kutokea Afrika
na duniani.Anamiliki msululu wa magari ya kifahari yenye thamani ya paundi million
4 ikiwemo Bugatti Veyron, Maybach Xenatec, Ferrari, Aston Martin na mengineyo
|
Samuel Eto’o na Ferrari |
Comments
Post a Comment