HUYU NDIO MBUNIFU NA MJASIRIAMALI WA ZIMBABWE AMEISHIA KIDATO CHA PILI LAKINI AMEUNDA HELICOPTER, GARI LINALOTUMIA UMEME, DRONE NA JENERETA....
Sangulani Max Chikumbutso Aliishia kidato cha pili ameonesha kwamba hakuna kitu kinaweza kuzuia ndoto za mtu zisitimie. Ametengeneza helikopta, gari inayotumia umeme, drone, pamoja na jenereta kupitia kampuni yake ya Saith Technologies.
Helikopta aliyoiunda inatumia aina 6 za mafuta, na inauwezo wa kubeba abiria 6,Je ni nini kinazuia ndoto zako?
Sangulani Max Chikumbutso akiwa amesimama pembeni ya ubunifu wake |
Comments
Post a Comment