LOKOMOTIVA YAIKOMALIA KRC GENK.



Usiku wa tarehe 18 Agosti KRC Genk waliingia uwanja wa ugenini kukipiga na Lokomotiva Zagreb ya Croatia. Genk walikuwa wa kwanza kupata mabao kupitia kwa Leon Bailey dk 47 kwa njia ya penalty.


Hata hivyo Lokomotiva walisawazisha goli hilo kwa bao lililofungwa na mirko maric dk 51 kabla ya Mbwana Samatta kuongeza la pili dk 52. Hata hivyo Lokomotiva walisawazisha kupitia Ivan Fiolic dk 59.
Kwa matokeo hayo KRC Genk sasa wanahitaji sare ya 1-1 au suluhu,kufudhu hatua ya makundi ya Europa League , katika mchezo wao wa marudiano tarehe 25 Agosti 2016




Comments

Popular Posts