HAYA NDIO MAISHA YA EMMANUEL ADEBAYOR.......





Emmanuel Adebayor ni mmoja wa wanasoka matajiri barani afrika, anapenda sana kuishi maisha ya kifahari. Hii utaigundua tu utakapoona magari anayomiliki, pikipiki majumba ya kifahari, ndege, nguo anazovaa  na mazagazaga mengine. Adebayor anamiliki majengo na mjumba ya kifahari Togo, Uk, na Marekani.
Leo nimekuletea picha kadhaa zinazoonyesha aina ya maisha ambayo Adebayor anaishi.








Comments

Popular Posts