Hapa ndio Obama atakapoishi baada ya kutoka Ikulu ya Marekani

Hapa ndio Obama atakapoishi baada ya kutoka Ikulu ya Marekani. 

kwa mujibu wa mtandao wa Mansion Global
 Rais Barack Obama amesema yeye na familia yake wataendelea kuwepo jijini Washington, D.C.,baada ya kuwa ameondoka ikulu ya Marekani maarufu kama "White House"mwezi January ili binti yake mdogo, Sasha, aweze kumaliza masomo yake.

Obama na mkewe Michelle watapanga mjengo wa ukubwa futi za mraba 8,200 huko Kalorama jirani kabisa na Washington D.C.Inaripotiwa kuwa mjengo huo unamilikiwa na Joe Lockhart, mwanzili mwenza wa Glover Park Group, pamoja na mkewe, Giovanna Gray Lockhart.

Huu ndio mjengo sasa ambao inasemekana ataishi hapo baada ya kuondoka ikulu ya Marekani.

sehemu ya mjengo huo


Comments

Popular Posts