VILABU VYA SOKA VINAVYOUZA JEZI ZAIDI.....................
Manchester United kwa mara nyingine wamekamata nafsi ya juu tena kwenye chati ya mauzo ya jezi
2016 baada ya usajili wa majina makubwa Ibrahimovic, Paul Pogba na
Henrik Mikhiratyan. mauzo yalipaa juu mwanzo wa msimu wa 2016-17 ikiwa ni ongezeko la 40% ikilinganisha na mwaka jana. Jezi za Ibrahimovic and
Pogba zikiwa ndio zinauza sana England na duniani. Real Madrid pekee ndio inaonekana kuikaribia United baada ya miamba hiyo ya Spain
kuona ongezeko la 32% kwenye mauzo ya jezi zake.
1.Manchester United 2,850,000 (40% increase) Brand Addidas, Jezi inayouza sana Paul Pogba
2.Real Madrid 2,290,000 (32% increase) Brand Addidas, Jezi inayouza sana C.Ronaldo
3.Barcelona 1,980,000 (11% increase) Brand Nike, Jezi inayouza sana Lionel Messi
Comments
Post a Comment