MATUKIO YA WIKI MICHEZONI.......
Napoli 1-3 Roma (Magoli ya Dzeko na Salah yaibwaga Roma)
Napoli 1-3 AS Roma Matokeo kwa ufupi:
43′ 0 – 1 Edin Dzeko anafunga goli la kwanza.
54′ 0 – 2 Edin Dzeko anaongeza goli na kufanya uongozi uwe 2-0 dhidi ya Napoli.
58′ 1 – 2 Kalidou Koulibaly anafunga kuirudisha Napoli kwenye mchezo.
86′ 1 – 3 Mohamed Salah anagongolomea msumari wa mwisho na kufanya matokeo yawe 3-1.
Comments
Post a Comment