MATUKIO YA SOKA MWISHO WA WIKI......

Chelsea 3-0 Leicester City (Costa, Hazard na Moses wafunga Leicester ikiendelea kupokea kipigo kingine).

Hazard
Chelsea walishuka dimbani wikiendi hii kukipiga na mabingwa watetezi Leicester City Ligi kuu ya England jumamosi iliyopita. na iliwachukua dakika 7 tu kupata uongozi kwa goli la Diego Costa. Leicester City walipambana kurudi kwenye mchezo lakini wakajikuta wakifungwa goli la pili tena na Eden Hazard.
Chelsea 3-0 Leicester Kwa Ufupi:
07′ 1 – 0 Diego Costa anafunga kuipa uongozi Chelsea 1-0 dhidi ya Leicester.
33′ 2 – 0 Eden Hazard anafanya matokeo kuwa 2-0.
Hazard akifunga

80′ 3 – 0 Victor Moses anafunga goli la tatu kwa chelsea. 
Victor Mosess


Matokeo mengine ya wikiendi iliyopita.


Comments

Popular Posts