MBWANA SAMATTA AIPELEKA GENK ROUND YA PILI

Genk imefanikiwa kuingia round ya pili kwa mikwaju ya penati 4-2, penati za ushindi wa Genk zilipigwa na nahodha wao Thomas Buffel, Heynen, Mbwana Samatta na Walsh, baada  ya kwenda sare ya magoli 2-2.Hivyo kwa matokeo hayo sasa Genk itacheza round ya pili ya Europa League dhidi ya Cork City ya Jamhuri ya Ireland.

Comments

Popular Posts